Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
- Thread starter
- #21
Mwenye uhalali wa kumiliki vikosi ni Captain wa jeshi,na RPC sasa yeye Mwaipopo anaweza vipi kumiliki vikosi?
Tatizo ni gumu ukishaingia mfumo wa Nchi kuendeshwa toka kikundi na wanufaika wachache.Katika mazingira hayo kipo bora kuhofu ama kukata mzizi wa tatizo?
nonsense ramli 🐒Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.
Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?
Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Soma pia: The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul
Nani atamfunga paka Kengele ? Panya wote ni waoga, wadogo kwa umbo, na wepesi kuliwa na Paka aliyenenepeana kwa chakula cha wote Paka na panya.Mifumo imekufa kwa sababu za kisiasa;na deep state wanaogopa kuchukua hatua kwa sababu za kisiasa. Kuna kipindi hata waziri wa mambo ya chumbani aliagiza taratibu za kuwakamata watu kulingana na sheria zifuatwe akang'ofolewa. All in all huu ni muda sahihi wa mamlaka kufanya mabadiliko ya msingi ya katiba ili kurekebisha mambo. Wasipoteze muda kusuburi mambo yafike pabaya zaidi na kuparaganyika ndiyo waweke mambo sana.
Mimi nasema bila kupepesa macho mmiliki wa kikundi cha kigaidi cha waislam wenye itikadi ovu kinachoongozwa na Mwaipopo ni Abduli.Ww fikiria mtu anaweza kumiliki kikundi cha kigaidi kama hiko, n lazima kuwe na mkono wa mtu mkubwa serikalini
Sahihi.Mimi nasema bila kupepesa macho mmiliki wa kikundi cha kigaidi cha waislam wenye itikadi ovu kinachoongozwa na Mwaipopo ni Abduli.