Hellow!
Bandiko hili litunzwe.
Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli.
Utafanyika uchaguzi na CHADEMA itashiriki na itapata wabunge wengi kuliko chama Cha majani mabichi, na jambo hili haliingii akilini kwa Tume huru hii iliyopo,
Kutimia kwa maono haya, ni kufanikiwa kwa agenda ya wananchi ya No reforms no Election.
Itatimiaje?
Muda ni mwalimu.
Tusubiri wakati, huo na kazi iendelelee!