Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Msagasumu kama msagasumu, hapa naanza kuelewa kwanini kina Prof. Mabula Mchembe walikua wanakataa Hangaya asipewe uraisi, tutaona mengi miaka hii tuombe uzima tu wajameni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamjua udhaifu wakeMsagasumu kama msagasumu, hapa naanza kuelewa kwanini kina Prof. Mabula Mchembe walikua wanakataa Hangaya asipewe uraisi, tutaona mengi miaka hii tuombe uzima tu wajameni
Hakuna kitu kama hicho mkuu huu ni utawala katili kupita kiasiItapendeza sana hiyo siku ikitokea kwasababu haki itakuwa imeshinda dhulma na kila mwenye nia njema na taifa letu atakuwa na furaha isiyo kifani.
Nauona mwanga wa maono kwenye hili na mwangwi wake una sauti kali inayotetemesha mamlaka na watawala... Haya ni maono ya tarakimu na hakuna awezaye kuyachakachuaMwaka huu Tanganyika inaazimisha miaka 60 tangu kupata uhuru wake, wapo wanaoawaaminisha wajinga wenzao wasiojuwa historia kwamba ni siku ya Uhuru wa Tanzania bara.
Ni kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa.
Back to the topic Freeman Mbowe ambaye amezaliwa mwaka 1961 mwaka wa Uhuru na Baba wa Taifa kuwa ndio Baba yake wa ubatizo maono ya kiroho yanasema hivi.
Siku ya maazimisho ya Tanganyika kutimiza miaka 60 ya kuwa huru yani Freedom, nawahakikishia ndugu Freeman Mbowe atakuwa free na atakuwepo uwanja wa Uhuru/ uwanja wa Taifa kwenye kuazimisha na kusherehekea miaka 60 ya Uhuru na Ndugu Freeman Mbowe pia ana miaka 60 na alizaliwa mwaka 1961 mwaka ambao Tanganyika ilipata Uhuru wake.
Hili halihitaji ramli wala nini haya ni maono kutoka kwa Mungu, mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Save this thread for future generations, JF be the first to know.
Mohamed Said, paskal Mayalla, Mzee Mwanakijiji, EMT, Pdidy , jmushi1, Nguruvi3, BAK, Ngongo, Zitto, gfsonwin, Mshana Jr
Matola hapakuwa hata na haja ya kumjibuThread iko juu ya ur thinking capacity na watu wanaoongea na Mungu.
Common sense is not common to everyone especially midiocarces like you.
Stay away, Mungu atakuchapa huenda usiione siku hiyo kama malaika wenu wa kuzimu Mungu alivyomkatalia asione siku hiyo.
Freeman Mbowe atakuwepo Uhuru stadium kwenye sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.
Huyo USSR nadhani ni mwehu. Umewahi kuona amewahi kuleta mada yoyote hapa JF kuashiria kuwa ana akili timamu? Pamoja naye, yupo Iboya. Hao ukiona wameandika chochote, puuza, hawana akili timamu.Thread iko juu ya ur thinking capacity na watu wanaoongea na Mungu.
Common sense is not common to everyone especially midiocarces like you.
Stay away, Mungu atakuchapa huenda usiione siku hiyo kama malaika wenu wa kuzimu Mungu alivyomkatalia asione siku hiyo.
Freeman Mbowe atakuwepo Uhuru stadium kwenye sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.
Kuna kitu Mungu anafanyaItapendeza sana hiyo siku ikitokea kwasababu haki itakuwa imeshinda dhulma na kila mwenye nia njema na taifa letu atakuwa na furaha isiyo kifani.
Mbowe alitoka tarehe 9 mwezi uliopita?Mwaka huu Tanganyika inaazimisha miaka 60 tangu kupata uhuru wake, wapo wanaoawaaminisha wajinga wenzao wasiojuwa historia kwamba ni siku ya Uhuru wa Tanzania bara.