Maono: Freeman Mbowe na miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika. Mtashangaa!

Msagasumu kama msagasumu, hapa naanza kuelewa kwanini kina Prof. Mabula Mchembe walikua wanakataa Hangaya asipewe uraisi, tutaona mengi miaka hii tuombe uzima tu wajameni
 
Itapendeza sana hiyo siku ikitokea kwasababu haki itakuwa imeshinda dhulma na kila mwenye nia njema na taifa letu atakuwa na furaha isiyo kifani.
Hakuna kitu kama hicho mkuu huu ni utawala katili kupita kiasi
 
Nauona mwanga wa maono kwenye hili na mwangwi wake una sauti kali inayotetemesha mamlaka na watawala... Haya ni maono ya tarakimu na hakuna awezaye kuyachakachua
 
Matola hapakuwa hata na haja ya kumjibu
 
Huyo USSR nadhani ni mwehu. Umewahi kuona amewahi kuleta mada yoyote hapa JF kuashiria kuwa ana akili timamu? Pamoja naye, yupo Iboya. Hao ukiona wameandika chochote, puuza, hawana akili timamu.
 
Itapendeza sana hiyo siku ikitokea kwasababu haki itakuwa imeshinda dhulma na kila mwenye nia njema na taifa letu atakuwa na furaha isiyo kifani.
Kuna kitu Mungu anafanya
 
Mbowe alitoka tarehe 9 mwezi uliopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…