Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha.

Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi wataanza kuondoka mojamoja kwa mazingira ambayo yataonekana kama ni ya kawaidia lakini ni kwasababu ya serikali imeruhusu hali hii.

Iko siku mtakumbuka hii post kama tukiendelea na haya tunayo ona kwenye chaguzi
 
Bajati mbaya wengi wetu tumeshayazoea haya maisha ya ubabaishaji na zimamoto.
 
Back
Top Bottom