talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
Salaam wana jamvi!
Baada ya kujiuliza maswali kadhaa nimeamua kuandika huu uzi ili wale wanaowaza kama mimi tuweze kutafakari kwa pamoja na kwa kina zaidi.
Nionavyo mimi suala la Diamond kumcheat Zari halikuwa la bahati mbaya au kupitiwa na shetani kama mwenyewe anavyodai bali ilikuwa ni mpango wa makusudi kabisa,hata ukivuta kumbukumbu vyema kipindi cha nyuma kuliwahi kutokea ishu ya zari kukuta pete chumbani kwa diamond,lakini pia hapo nyuma ilivuma kidogo ishu ya mondi kutoka na mobeto baada ya muda kidogo tukamuona mobeto ametokea kwenye kichupa cha Salome
Hizi zinaweza kuwa ni sababu kwanini diamond kamcheat zari:
1)Huwenda Zari ndie aliyeanza kumsaliti diamond hapo kabla na huku dai akijua kabisa kama anasalitiwa lakini alikuwa anakausha tu,sasa ili kulipiza kisasi baada ya kumfika ya shingo ndo akaamua na yeye kucheat na mobeto.
2)Wasiwasi au ukweli juu ya wa watoto wake hasa Nillan...kumekuwa na sintofahamu juu ya baba halali wa watoto wa daimond aliozaa nao na zari hasa huyu wa kiume Nillan(hata mimi nna mashaka bado). Huyu nillan amekuwa akizua utata mkubwa sana maana amemsadifu sana marehemu Ivan kuliko diamond,tiffa at least anaelekea kuwa ni wa diamond. Sasa, pengine diamond mwenyewe anaujua ukweli wa hayo yote na ndio maana na yeye akaamua kujiripua kwa hamisa kama mbwai na iwe mbwai...maana anajua kuwa zari hawezi kumfanya kitu kwa kuwa yeye mwenyw zari tayari alishalianzisha kabla yake.
3)Pressure kutoka kwa ndugu wa karibu hasa huyu esma na mama diamond,hawa watu siwaamini saaana maana wana sura mbili mbili...huwenda wao ndo waliousuka mchezo mzima ikiwemo kumkuwadia diamond kwa mobeto,hence usaliti...
Hayo ndo niyaonayo mimi...ila kwa jicho langu la tatu hiyo sababu nam. 1 ndio strong sana,huwenda Zari ndie aliyeanza kucheat hlf diamond akafuatia,maana najiuliza huo ujasiri wa kumuingiza mobeto mpaka geto analolala na zari kautoa wapi na hasa ukizingatia jinsi walivyokuwa wanaishi na zari...na hapa ndio unaweza kuunga picha siku ile diamond aliporopoka "ndo maana naishia kuwagonga na kusepa" hii ni baada ya kuona picha ya zari akiwa kweny swimming pool akiwa ameshikwa tako na njemba mwengine,japo zari alikuja kuitolea maelezo ile picha baadae!
Ila tuwape muda chanzo cha haya yoote ukweli utajulikana tu ipo siku, mmoja wapo ataanza kufunguka kwa kutoa za chini ya kapet kabisa juu ya nini kilikuwa kinaendelea katika uhusiano wao ambapo mashabiki tulikuwa hatujui au tunahisi tu lakini hatuna uhakika.
Mark my post!