Maono: Kwanini Diamondplatnumz alimsaliti Zarithebosslady.

duuh mi napita tu.
 
Hii picha ukiiona huyu diamond hamtaki zari kamtafutia kila aina ya visa hivi kweli unaeita mtu anakupenda halafu anaingiza mwanamke ndani bado anasema kwenye media kuwa kalala
Na mwanae zari ni king’ang’anizi waapenzi wako waliokuwa wanatete eti asikubali
 
Namba tatu ndiyo.. mengine sio kabisa.. na ni mengi vituko juu ya vituko live

Waliosababisha ni Mzazi aliyeanza kwa kuandika juu ya uzalendo kwanza.. uzungu alikuwa hajauozoea.. sasa hivi limewashuka walipomsukumia mchepuko/michepuko huku naye akipenda tabia hizo kwa kupenda sketi..huyo aliyemzalia kawanyoosha hawana hamu nae eeeeeeh hawakujua yeye anataka pesa tu na kujipaisha(kaumbuka vibaya mno) na akawapata ila ndio hivyo hakuna linalojificha chink ya jua.. yake yametokeza mapemaaa

Kuna kitu sielewi kwanini diamond hajali afya yake kutembea bila mipira.. haswa kwa mwanamke mwenye historia kama ya huyo mchepuko aliyezaa nae.

Ila kila jambo lina tukio la kumbadilisha mtu.. natumaini Diamond atabadilika sasa.
 
HIV/AIDS inapimwa ndani ya dakika kumi majibu yashatoka so anajua anachokifanya
 
Jamani si mumuache kwani ye ndo wa kwanza hivi nani atavumilia tuwe wakweli mume tz mke south Africa ?!!

Mbona kawaida na atacheat tena na tena
 
inawezekana kabisa unayoyasema,yaani hicho kilichotokea lazima kwa mtizamo wangu kinaangukia moja kati ya hizo sababu hapo juu!
 

HAKUMSALITI ..YULE MABETO NI MSWAHILI ALIPOPEWA nafasi ya Kuimba naye nyimbo sijui Salome akaitumia nafasi hio kujisukuma kwa Dai na hata kumroga ili aisijitambue.
kutoka na uchawi kuwa mwingi Dai alikua hajui anafanya nini akajiona mpaka ana mkaribisha chumbani kwake...
huyu mwanamke akmganda sana na aliamua kumpa papa bila ya condom makusudi ...Dia hakujielewa mpaka familia nayo ilirogwa ... lakini mama Dai nae mswahili akateegua kibano kile .
kuanzia hapo ndio huyo kidampa akaanza vituko kwenye mitandao kuji dhalilisha , kukata viuno na kuanza kumtukana na kumkejeli Zari

Zari anaelewa yote ndio maana akamsamehe Dai
wanawake haw Kiswahili mkorogo kaa nao mbali...akijisogeza kwako kama unazo hela jichunge
 
Kwani chibu na boss wana watoto wangapi? 1 au 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…