Maono- ndoto kuhusu Mbowe

Sikutarajia kuwa Kamundu anaweza kuwa mpumbavu wa kiwango hiki.
 




N
Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe.

Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa


Mungu kanipa maelekezo ya maana yake na kutokana na maelekezo 17 ni mwaka 2017 Lissu alivyopigwa risasi. Maana yake ni kwamba Mbowe kavaa jezi ya jina la Lissu kama vile shabiki yake. Lakini ni Lissu ambaye kazaliwa upya kwa imani 2017 inaelekea kwenye roho za imani kuna Lissu wa kabla ya 2017 na Lissu baada ya 2017
 
Una uhakika gani kuwa hayo ni maono ya kimungu na siyo maono ya kishetani? Leta uthibitisho tafadhali


Uthibitisho ni matukio ya namna hiyo kwangu. Haya ni masuala ambayo wewe binafsi unabidi ujue historia ya matokeo kama hayo
 
Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe.

Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa


Nimejua Kwenye imani Lissu anatambulika kwa namba 17 ambayo ni 2017 maana kwa mungu ni kama alizaliwa upya. Mbowe kuvaa jezi yenye namba 17 ni Mbowe kumuunga mkono Lissu kama kiongozi mpya
 
Jezi namba 17 alivaa mchezaji wa Man U Lucas Almeida maarufu kama "Nani'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…