B Prosper
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,527
- 4,097
Bwana Yesu Kristo asifiwe.
Mungu azidi kuwabariki nyote ambao mmependwa na BWANA kwa kuwazidishia afya njema na pumzi yake ya bure.
Kabla sijaleta maono haya naomba niseme mimi siyo mwanasiasa wa chama chochote nchini tanzania wala nchi yeyote.
"Nilikuwa katika roho, naam ulimwengu ule usioonekana kwa macho ya mwili na nyama, kisha nikaona ardhi niliyokalia ikiwa na machafuko sana, nilivyotazama angani niliona ndege za kivita zikienda kwa kasi sana, nikawaona raia wakikimbia uelekeo wasioujua. Mbele yangu nikaona mlima mdogo juu ya ule mlima nikamwona raisi mwanamke ameshikiliwa akiwa amepiga magoti na kufungwa kwa pingu, raisi yule alilia kwa uchungu.
Naam huo ni mwisho wa maono yangu. Mungu awabariki.