Hayawi hayawi sasa yatakuwa kwa yule mrembo wa Tanzania Wema Sepetu.
Yale ambayo yatafurahisha wapenzi wa mlimbwende huyu yanakwenda kuwa.
Ni yapi hayo! Ni Yale ya kuvaa shela jeupe tena na ndoa ya Kikristo.
Naliona maono mrembo huyo akitoa taarifa kwa watu kuwa anakwenda kuolewa katika kanisa.
Katika maono hayo niliona mrembo huyo akitaja hadi mtumishi atakayefungisha ndoa yake.
Naliona pia akionesha mkono wake na kusema kwa lugha ya kingereza " I make it"
Mwisho wa maono hayo kwa Tanzania sweetheart kama anavyojiita.
Kila la heri Wema Sepetu katika ndoa yako.
Mungu ni mwema amekutendea.
Tichaaaaa😅'I make it' akiwa anamaanisha nini?
Sawa kabisa.Kazi yangu sio kutafsiri ila kusema nilichoona...
Naisubiria ya kwako kuna zawadi yako nzuriIkawe hivyo
Tichaaaaa😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilitaka kujua maana mie na uticha where na where [emoji28]
Labda head ticha Mpwayungu Village ana majibu
Underrated commentIla inataka moyo kufunga ndoa na hao wanaitwa mastaa wa kibongo.
Kuna uwezekano mkubwa asilimia 90 ya watakaohudhuria hiyo sherehe washaona uchi wa mkeo.
Secta ya kuwa nabii tapel kwa miongo mingi wanawake mlikuwa nyuma .naona sasa mnamuamkoHayawi hayawi sasa yatakuwa kwa yule mrembo wa Tanzania Wema Sepetu.
Yale ambayo yatafurahisha wapenzi wa mlimbwende huyu yanakwenda kuwa.
Ni yapi hayo! Ni Yale ya kuvaa shela jeupe tena na ndoa ya Kikristo.
Naliona maono mrembo huyo akitoa taarifa kwa watu kuwa anakwenda kuolewa katika kanisa.
Katika maono hayo niliona mrembo huyo akitaja hadi mtumishi atakayefungisha ndoa yake.
Naliona pia akionesha mkono wake na kusema kwa lugha ya kingereza " I make it"
Mwisho wa maono hayo kwa Tanzania sweetheart kama anavyojiita.
Kila la heri Wema Sepetu katika ndoa yako.
Mungu ni mwema amekutendea.
Amen, tuombe kheri na uzima😊Naisubiria ya kwako kuna zawadi yako nzuri
Ni neema tu ya Mungu, Kuna wakati nilikuwa najiuliza mimi Donatila nimekuwaje...Secta ya kuwa nabii tapel kwa miongo mingi wanawake mlikuwa nyuma .naona sasa mnamuamko