Maono: Wema Sepetu kuolewa ndoa ya Kikristo

Maono: Wema Sepetu kuolewa ndoa ya Kikristo

Hayawi hayawi sasa yatakuwa kwa yule mrembo wa Tanzania Wema Sepetu.

Yale ambayo yatafurahisha wapenzi wa mlimbwende huyu yanakwenda kuwa.

Ni yapi hayo! Ni Yale ya kuvaa shela jeupe tena na ndoa ya Kikristo.

Naliona maono mrembo huyo akitoa taarifa kwa watu kuwa anakwenda kuolewa katika kanisa.

Katika maono hayo niliona mrembo huyo akitaja hadi mtumishi atakayefungisha ndoa yake.

Naliona pia akionesha mkono wake na kusema kwa lugha ya kingereza " I make it"

Mwisho wa maono hayo kwa Tanzania sweetheart kama anavyojiita.

Kila la heri Wema Sepetu katika ndoa yako.

Mungu ni mwema amekutendea.
Kama mpika piriani kaolewa yeye ni nani asiolewe
 
Hasa ndoa ya kanisani mbona kitu Cha kawaida tu, Tena Roma kanisa takatifu la mitume, sio makanisa mapya ya manabii.
 
Bangi na visungura ni hatari Kwa UBONGO wako rafiki..... Any way, embu tupia picha yake tuthaminishe.
 
Back
Top Bottom