OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
haaa haaa mmemalizana vipi huku nyinyi wenye akili timamu?Yaani mtu na akili zako timamu unakaa chini na kumsikiliza mtu kama Haji Manara! Labda uwe na akili za kimbumbumbu.
Vidimbwi mtateseka sana mwaka huuYaani mtu na akili zako timamu unakaa chini na kumsikiliza mtu kama Haji Manara! Labda uwe na akili za kimbumbumbu.
Mwalimu wa madrasa saizi amepanda cheo kawa nabii........mbeba tivi kwenye press......Rage hakukosea kuwapa jina la mbu×3Nabii Haji Manara.
"Susa kadadeki"
Tulia,mechi yenu na KMC tushaimaliza tayari.Mwalimu wa madrasa saizi amepanda cheo kawa nabii........mbeba tivi kwenye press......Rage hakukosea kuwapa jina la mbu×3
jikaze mkuu,tulia ulambe dawaMwalimu wa madrasa saizi amepanda cheo kawa nabii........mbeba tivi kwenye press......Rage hakukosea kuwapa jina la mbu×3
Ndiyo mkome kukurupukaMikia wanajua walichoifanyia Yanga ndio maana wanajua in and out,Yanga tulikurupuka sana kumuweka msola pale from nowhere,kwa hili ilivyo yule msola angejiuzulu mapema kulinda heshima au lah kama anahisi akijiuzulu Yanga atakosa mshahara wake kwa mo,basi asubirie bakora siku yake
Yaan ww n said ya boya / bwege / sengeee unajfanya umsiklz ila habar zke unazfatilia kwa bando la pesa yako. FalaaYaani mtu na akili zako timamu unakaa chini na kumsikiliza mtu kama Haji Manara! Labda uwe na akili za kimbumbumbu.
Mikia wanajua walichoifanyia Yanga ndio maana wanajua in and out,Yanga tulikurupuka sana kumuweka msola pale from nowhere,kwa hili ilivyo yule msola angejiuzulu mapema kulinda heshima au lah kama anahisi akijiuzulu Yanga atakosa mshahara wake kwa mo,basi asubirie bakora siku yake