Maono ya Haji Manara kuhusu Yanga yanatokea kwa kasi sana

Maono ya Haji Manara kuhusu Yanga yanatokea kwa kasi sana

Yaani mtu na akili zako timamu unakaa chini na kumsikiliza mtu kama Haji Manara! Labda uwe na akili za kimbumbumbu.

Tazama hii Nyani🐒 iliyotukuka imeangalia hizi Clips za Manara mpaka imemaliza then inacomment kama haijui ilichokifanya 😂😂😂
Wewe sasa utakuwa na akili za Kinyesi kabisa.
 
Tazama hii Nyani🐒 iliyotukuka imeangalia hizi Clips za Manara mpaka imemaliza then inacomment kama haijui ilichokifanya 😂😂😂
Wewe sasa utakuwa na akili za Kinyesi kabisa.
Kwa bahati nzuri sikupata kabisa huo muda mchafu wa kumsikiliza huyo Haji Manara wenu. Nimekoment kulingana na kilicho andikwa.
 
Mikia wanajua walichoifanyia Yanga ndio maana wanajua in and out,Yanga tulikurupuka sana kumuweka msola pale from nowhere,kwa hili ilivyo yule msola angejiuzulu mapema kulinda heshima au lah kama anahisi akijiuzulu Yanga atakosa mshahara wake kwa mo,basi asubirie bakora siku yake
Exactly,Msolla ndiyo kirusi kinachoitesa Yanga
 
Aisee Haji kwann anaisema sana yanga? Amuheshim hata mzee Manara bas
 
Back
Top Bottom