King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Yaani mtu na akili zako timamu unakaa chini na kumsikiliza mtu kama Haji Manara! Labda uwe na akili za kimbumbumbu.
Kwa bahati nzuri sikupata kabisa huo muda mchafu wa kumsikiliza huyo Haji Manara wenu. Nimekoment kulingana na kilicho andikwa.Tazama hii Nyani๐ iliyotukuka imeangalia hizi Clips za Manara mpaka imemaliza then inacomment kama haijui ilichokifanya ๐๐๐
Wewe sasa utakuwa na akili za Kinyesi kabisa.
Exactly,Msolla ndiyo kirusi kinachoitesa YangaMikia wanajua walichoifanyia Yanga ndio maana wanajua in and out,Yanga tulikurupuka sana kumuweka msola pale from nowhere,kwa hili ilivyo yule msola angejiuzulu mapema kulinda heshima au lah kama anahisi akijiuzulu Yanga atakosa mshahara wake kwa mo,basi asubirie bakora siku yake
Ungepotezea tu basi, mbona unaendelea kumjadili? Mbona unakuwa kama Chakubanga wewe?Kwa bahati nzuri sikupata kabisa huo muda mchafu wa kumsikiliza huyo Haji Manara wenu. Nimekoment kulingana na kilicho andikwa.
Kuja kuchukua hatua, wameshachelewa!Exactly,Msolla ndiyo kirusi kinachoitesa Yanga