ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
Leo nawaletea kisa hiki cha mjomba angu aliyewahi kuwa kiongozi wa ukoo katika koo moja ya
Wanganyitaka waliopatikana NGANYITAKA.
Haikuwa rahisi yeye kuwa kiongozi katika katika koo hiyo ila mkanganyiko ulijtokeza baina ya wazee wa ukoo ndipo kama bahati tu akapata nafasi hiyo!
Ikapelekea wana uko wana ukoo kusema kuwa wenda mizimu imeamua kuwaletea watu mtu wa kuwasaidia kuondoa udhalimu katika koo yao.
Huku akimalizia kunywa maziwa ya mtindi wa kienyeji babu anaendelea kunipa stori kuhusu mjomba angu mzee J.A.PARDLOCKS.
Akaendelea kuwa baada ya kushika madaraka akaanza kuwasakama watu walojilimbikizia mali kiholela kwa njia zisizo halali katika koo hizo, akaleta usawa kati ya wasio nacho na walionacho, akawanyanyua maskini toka ulofani mpaka kifani hakika idadi kubwa walimpenda na idadi ndogo walimchukia hasa matajiri waliojaza amali zao kwa kuwakandamiza masikini.
Hata hivyo hakutetereka katika kuyatimiza matakwa ya wengi katika koo za wanganyitaka japo alinusurika kuuwawa mara kadhaa ilaaa..
INAENDELEA!