NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mchezaji ni bidhaa Kama bidhaa zingine dukani, mchezaji anahitaji 'promo" ya Yule anayemsimamia lakini pia mchezaji anahitajika kufanya makubwa haswa pale anapoaminiwa na timu kwani kufanya kwake vizuri ndiyo thamani yake inakua zaidi.
Suala la "Jean Baleke" mchezaji anayekipiga Simba SC, Kuna tetesi na uvumi kuwa Kuna timu za Ulaya zinahitaji huduma yake, waliotoa hizo tetesi hawajataja ni Ulaya ya wapi??
Bali wametaja tu, NALIA NGWENA katika kufukua hizo tetesi ndipo nilipogundua kuwa tetesi zimetoka kwa Micky jr, huyu ni mwandishi wa habari huko south Africa na ndiyo yeye alichapisha hizo Habari za Jean Baleke kusajiliwa Ulaya.
Mickjr Anatumika sana kuandika propaganda (habari si za kweli) kwa hiyo kwa namna nyingine habari ya Jean Baleke hiyo ni 'technic" iliyotumika kumbrand ili awe na thamani haswa katika tasnia yetu hii ya mpira wa kibongo.
Nasema hivyo kwa sababu bado sijashawishika na kiwango Cha Jean baleke kucheza /kusajiliwa nchi za Ulaya.
Kwa hiyo tetesi za Jean baleke kusajiliwa ulaya ni "business technic" ya kumuongezea thamani mchezaji ili wanunuzi wakija wasishitushwe na Bei watakayo tajiwa maana watakua na fununu ya kwamba timu za ulaya zinamtaka.
Mfano mzuri tuliona timu ya Taifa Senegal ilimuita "Pape osumane sakho" lakini hata sub hakuwepo.
Kuitwa kwa Sakho timu ya Taifa ni kuongeza thamani ya mchezaji na CV yake, hapo wasimamizi wake meneja/wakala wake wapo vizuri katika kupambania bidhaa.
Hivyo haipo tofauti na Jean Baleke kuhusishwa/kutengenezewa tetesi (mchongo) na Mickyjr na kusambaza ili kumbrand na kuwatisha wateja watakao taka kukaa chini na manegers/agent wa Jean Baleke.