TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Tuombe Mungu atutunze, subiri tuone.ππSTUPIDLY ACT LABDA ZANZIBAR BARA WASAHAU KABISA.
Hizi ndoto zako utakuja kujikojolea bure! Membe alisharudi ccm kitambo ila mwenzetu wewe bado unaota baada ya tukio
π€π€π€π€π€Membe hajawahi kuhama CCM, alitumwa kimtego upinzani wakidhani CHADEMMA watajichanganya na kumpokea kama Lowassa, ila CHADEMA walistuka na kumpotezea
Soma uzi wa jamaa kwanza ndipo ujue kwanini nimemjibu hivyoMembe hajawahi kuhama CCM, alitumwa kimtego upinzani wakidhani CHADEMA watajichanganya na kumpokea kama Lowassa, ila CHADEMA walistuka na kumpotezea.
Soma uzi wa jamaa kwanza ndipo ujue kwanini nimemjibu hivyo
Huna maono yoyote. Labda maono ya kwendea chooni tu.wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine.
Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli.
Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM.
Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama chama kikuu cha upinzani, kikichuana kwa karibu na chama cha yule mzee wa ubwabwa.
Nawaona Covid 19 wakitakata Bungeni baada ya kushinda hoja za Mbowe.
Namuona Fransis Ndulane akila kiapo chake saaaafi kama waziri wa madini 2025.
Namuona Paul Makonda akirudishwa na JPM kuwa mkuu wa mkoa.
Maisha yanaenda kasi sana, tuombe Mungu atuwezeshe kuyaona haya.