Jamani kama siku tatu au nne zilizopita nilikuta kipindi TBC na RC Makonda alikuwa akiongelea juu ya kufanyika Maoenesho ya bidhaa zinazozalishwa Dar es Salaam. Anayejua taarifa yoyote kuhusu jambo hilo anisaidie, nilikuta kipindi kinaelekea mwisho, sikusikia kuhusu tarehe ya maenesho hayo.