Maonyesho ya bidhaa za Dar es Salaam yanafanyika lini?

Maonyesho ya bidhaa za Dar es Salaam yanafanyika lini?

GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
392
Reaction score
400
Jamani kama siku tatu au nne zilizopita nilikuta kipindi TBC na RC Makonda alikuwa akiongelea juu ya kufanyika Maoenesho ya bidhaa zinazozalishwa Dar es Salaam. Anayejua taarifa yoyote kuhusu jambo hilo anisaidie, nilikuta kipindi kinaelekea mwisho, sikusikia kuhusu tarehe ya maenesho hayo.
 
Back
Top Bottom