Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Mhindi toka Lindi ni mweupe! Wewe hata wanyaturu utawaita mabeberu.Ndiyo maana mtu mweupe lazima uendelee kumuabudi milele. Hii mentality ya kuona wahindi wengi 7,7 na kuhitimisha maonesho yamefanya inaeleza ulivyo dhalili mbele ya mhindi na mtu mweupe kwa ujumla
sema wamefilisika chini ya awamu hii.Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Labda theme India buy Tanzania.Kwa hiyo maonesho ya Sabasaba mwaka huu yamewalenga wahindi tu[emoji2]. Interesting
Kwamba umefurahi kuwaona vizee vya kihindi vyenye mikongojo vikifurahi kutolewa out sio?Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa
Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .
Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee
Kuna umati wa wahindi hasa
Mwamba ..bwana CCTV camera walisahau kuzichomoa zote...ipo moja imeonyesha kila hatua ya tukio.Hivi walitaka ata kumfanyia hivyo...aiseeKwani hukuliona karibia na la konyagi
Angalizo: Wakumbuke tu COVID-19 bado haijatoweka, wachukue tahadhari zote muhimu na pia kuzingatia kanuni zote zinazopendekezwa na wataalamu wa afya.Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Sasa tahadhari kama zipi mkuu?kwanza barakoa yenyewe inafanana kama titi la mtu mmoja hivi lililokatwa..Angalizo: Wakumbuke tu COVID-19 bado haijatoweka, wachukue tahadhari zote muhimu na pia kuzingatia kanuni zote zinazopendekezwa na wataalamu wa afya.
Picha ziko wapi?Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Shishi Food nalo limefunguliwa.Na mapya yamefunguliwa kama la Le mutuz na Pierre Liquid!
Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na wananunua sana bidhaa kwenye mabanda na wamefurahi wanapita mabanda yote bila ubaguzi na kununua na kutaka maelezo.
Nimekuwa mwendaji miaka yote leo ni tofauti na miaka yote. Wahindi wamejipambanua kama sehemu ya Watanzania wengine kutembelea hayo maonyesho.
Zamani ukiona muhindi atakuwa lazima ni muonyesha bidhaa sio mtembelea mabanda safari hii ni tofauti.
Hongereni Wahindi kwa kuonyesha kujali haya maonyesho.
Mabanda mengi yamefungwa
Nimewaona pia wahindi wa Yanga!
Chadema wangefungua Banda lao watu tutembelee Sacco's yetu pendwa
Kwa hiyo maonesho ya Sabasaba mwaka huu yamewalenga wahindi tu[emoji2]. Interesting
Ukiona wahindi wanacheka cheka na kuzunguka kununua kwenye mabanda ya wabongo basi ujue hali zao kiuchumi ni mbaya, wamepigika na ndivyo ilivyo kila mtu amepigika awamu hii hata wahindi kwasababu ya sera mbovu za biashara.
Nyie maskini wa ccm mtaendelea hivyo hivyo na kuwaumiza akina Dudley Mbowe waliwa baa wanajifurahisha.Hata mhindi apigike hawezi kuwa kama wewe
Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa
Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .
Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee
Kuna umati wa wahindi hasa
Ndiyo maana mtu mweupe lazima uendelee kumuabudi milele. Hii mentality ya kuona wahindi wengi 7,7 na kuhitimisha maonesho yamefanya inaeleza ulivyo dhalili mbele ya mhindi na mtu mweupe kwa ujumla
Ulipaswa kuwapongeza kwa kuongeza ubunifu wa kukusanya mapato, kama wenzao wa trafiki.Tantrades hawana huruma na wananchi.
Packing za nje ya viwanja wamezichukua
Wao Safari hii na kuongeza gharama hadi kufikia Tsh.10,000 kwa gari moja na haijalishi unapaki kwa muda mfupi kiasi gani !
Kazi yao kuwakamua wananchi ili wapate pesa za kulipana posho!
Uongozi wa Tantrades salamu hizi ziwafikie popote mlipo.
Mmekwaza watu sana kwa kukwapua zile packing za nje ya uwanja wa maonesho na kuanza kuweka bei zenu kubwa!
Hamna huruma na wananchi.
Mmekwaza watu wengi sana.
Kwanini msingeacha utaratibu wa zamani kutumika?
Who is the f****ng dudu ley? Acha kuilaumu serikali kwa umasikini Wako piga kazi uondoe huo umasikini ulionao au unadhani chadema ndio itauondosha umasikini wako? Sonona inakutesaNyie maskini wa ccm mtaendelea hivyo hivyo na kuwaumiza akina Dudley Mbowe waliwa baa wanajifurahisha.