Maonyesho ya nane nane yanaendelea kupoteza mvuto mwaka hadi mwaka

Maonyesho ya nane nane yanaendelea kupoteza mvuto mwaka hadi mwaka

Do, Bushmamy umesema jambo kubwa sana na lina uhalisia mkubwa na wakweli.

Ndiyo maana Big JPM aliamua kuyapiga pini mwaka juzi, maana aliona No credit.

Pamoja na hilo maonyesho yamekuwa siyo kwa walengwa bali wafanyabiashara na walanguzi.
 
Back
Top Bottom