Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kwa wimbi la tatu. Maonyesho haya hayana maana. Tumeshaanza kuzika tatizo wabongo wanajali fedha kuliko uhaiMwaka Jana yalikuwepo wamekufa wangapi?!!!sisi bado tunaamini nia zetu za maisha hizoo propaganda endeleeni Nazooo!!!Corona we mbona hujafa,kwenu wamekufa wangapi?kuna sehemu wamekufa mji mzima hapa Tanzania?!TB inaambukozwa kwa njia ya hewa ila madaladala ya bongo mbona hatufi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kufa kumeumbwa kwa kila mtu.Kwa wimbi la tatu. Maonyesho haya hayana maana. Tumeshaanza kuzika tatizo wabongo wanajali fedha kuliko uhai.
Per diemsMuhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.
Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.
Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho katika kipindi hiki?
Ama ndio hivyo kumeshakucha kujichotea posho bila kujali afya zetu. Maana haya maonyesho mashirika ya Umma uwa wanalipana posho hasa.
amekufa mekoMwaka Jana yalikuwepo wamekufa wangapi? Sisi bado tunaamini nia zetu za maisha hizoo propaganda endeleeni Nazooo! Corona we mbona hujafa, kwenu wamekufa wangapi? Kuna sehemu wamekufa mji mzima hapa Tanzania? TB inaambukozwa kwa njia ya hewa ila madaladala ya bongo mbona hatufi!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.
Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.
Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho katika kipindi hiki?
Ama ndio hivyo kumeshakucha kujichotea posho bila kujali afya zetu. Maana haya maonyesho mashirika ya Umma uwa wanalipana posho hasa.
Mwaka Jana yalikuwepo wamekufa wangapi? Sisi bado tunaamini nia zetu za maisha hizoo propaganda endeleeni Nazooo! Corona we mbona hujafa, kwenu wamekufa wangapi? Kuna sehemu wamekufa mji mzima hapa Tanzania? TB inaambukozwa kwa njia ya hewa ila madaladala ya bongo mbona hatufi!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yani mkitaka mtoke madarakani kwa nguvu jaribuni kuiga hizo ngoma zakimagharibi.
🤣🤣🤣🤣🤣😂Wabongo bhana eti mnaaminishana hakuna corona na ni propaganda za kimagharibi sawa sawa...
Mkuu kama una link ya hiyo interview naomba uitupie hapa itakuwa very interesting.Dr. Molel naibu waziri wa afya kakataa katakata kuwa Tanzania kuna Corona. Hadi mtangazaji wa BBC akabaki domo wazi.
Nchi ya propaganda hadi kwenye uhai wa watu.