Maonyesho ya Wakulima ya Nane Nane yanapogeuka kuwa maonyesho ya Wamachinga

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana.

Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za asili wamekuwa wengi kuliko wakulima na wafugaji.

Mabanda ya ng'ombe, mbuzi, na kuku hayazidi matano, lakini Kwa upande wa machinga wameteka eneo lote la uwanjan na hivyo kufanya maonyesho hayo kuwa ya wafanyabiashara na si ya wakulima na wafugaji.

Wananchi wengi wamekuwa wakionekana Kwa wamachinga wa vyombo vya ndani, nguo za mitumba, na dawa za asili lakini Kwa upande wa kwenye mifugo na wakulima hamna kitu.
 
Kwa nini mamlaka ziwaruhusu Machinga kwenye mabanda?

Hii tabia ikomeshwe mara Moja.

Mwisho hujataja ni wapi huko maana viwanja viko 8 Nchi nzima
 
Uko sahihi hamna issue tena,jana nilipita nanenane Morogoro hamna kitu cha kuona hapa ni maonyesho ya bidhaa za kilimo na ufugaji
 
Inaweza kuwa mbeya hiyo mi niliisha acha kwenda toka mwaka 2009 nilipoona machinga ,wachezesha kamali,mashindano ya kuimba nikaona hamna kilimo wala ufugaji hapa.
 
Back
Top Bottom