Mapacha kwetu ni kawaida sana.hii imekaaje wadau

Hatuna hiyo tabia mkuu,nyumbani ni washika dini kweli kweli.ila hili jambo nashangaa ni kwa nn ,wapo dada zangu wengine wako nje hata kuonana hatujaonana ila watoto wao ni kuwatofautisha na watoto wa ndugu zangu ni mtihani mkubwa sana.nimeamua kuanza kufanya utafiti kwenye genes mpaka nipate majibu ya haya mambo
 
Kiukweli dada zangu wana dharau sana waume zao,kwa hiyo wanachosema ni ndio tu.ukoo siwezi kusema ila tuko wilaya rorya jaribu kuuliza
 
Najua hilo ila napisha kwa majibu amabayo yako wazi kabisa kwetu
Wanaume hawawezi sababisha mapacha .. Ni genetic za mwanamke na mpaka Leo haijulikani kitu kinachosababisha mapacha ingawa process inajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…