Uchaguzi 2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

Uchaguzi 2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.

Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo kwa kuwa CCM ni chama Dume hakuna tatizo, kitaelewka mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!
2464131_215E2A03-8D47-4587-82A8-67B0E6D453A9.jpeg
 
Wewe nakuheshimu sana, ukianza shallow reasoning, nitakuchapa makofi! 🤣 🤣 🤣 🤣 , hawa ni watoto wa DADA! Tofauti na "kapuku" wa CDM kama nilivyo mimi!
Hahahaaaa........ hao wa Chadema ni watoto wa Simba!
 
Ukweli usemwe, Kanda ya Ziwa wametawala hasa Mwanza/Musoma! Ndugu hao wengi tu! Kungelikuwa na uhuru wa kusema/kuandika, usingeliamini unachokisoma
Hivi vitu vinakwamisha maendeleo HALISI ya sisi Waafrika! Kinachofanyika ni propaganda za upande mmoja na uwongo mkubwa mkubwa. Mtu hana cheti kwa vile ni ndugu au kabila moja anasifiwa kwa propaganda nyingi kuwa ana uzoefu! Cha ajabu hajawahi hata siku moja kuwa mtumishi wa umma, huo uzoefu kaupatia wapi? Wenye elimu na uzoefu wanaachwa kwa propaganda zile zile kuwa ni mafisadi! What a curse?
 
Wewe nakuheshimu sana, ukianza shallow reasoning, nitakuchapa makofi! 🤣 🤣 🤣 🤣 , hawa ni watoto wa DADA! Tofauti na "kapuku" wa CDM kama nilivyo mimi!
Umemaliza mkuu..hawa ni wa sisy😄
 
Back
Top Bottom