Uchaguzi 2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

Kama kweli huyo wa Kawe ni mtoto wa dada yake Jiwe ; Halima atamchapa mchana kweupe!
 
Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.

Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo kwa kuwa CCM ni chama Dume hakuna tatizo, kitaelewka mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!View attachment 1514790
Hii ni ishara nzuri sana kwa CHADEMA kutakuwa na kura nyingi za kushangaza, double double kwa CDM mwaka huu. Karibu Lissu uongoze mapambano dhidi ya udhalimu.
 
Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.

Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo kwa kuwa CCM ni chama Dume hakuna tatizo, kitaelewka mjengoni.

Maendeleo hayana vyama!View attachment 1514790
SARE ZA CHADEMA NI MOTO. ILA HAYA MALAPULAPU YA CCM HUWA SIYAELEWI HATA KIDOGO. HAYANA MVUTO KABISA! KILA ANAYEVAA ANAONEKANA ANA MIAKA ISIYOPUNGUA 70
 
Back
Top Bottom