johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe nakuheshimu sana, ukianza shallow reasoning, nitakuchapa makofi! 🤣 🤣 🤣 🤣 , hawa ni watoto wa DADA! Tofauti na "kapuku" wa CDM kama nilivyo mimi!Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.
Ngoja niombe ruhusa kwa Mnyika........hahahaaaa!Kwahiyo umekosa picha zao kusindkizia Uzi wako!!!?
Hahahaaaa........ hao wa Chadema ni watoto wa Simba!Wewe nakuheshimu sana, ukianza shallow reasoning, nitakuchapa makofi! 🤣 🤣 🤣 🤣 , hawa ni watoto wa DADA! Tofauti na "kapuku" wa CDM kama nilivyo mimi!
simba yupi?Hahahaaaa........ hao wa Chadema ni watoto wa Simba!
Yuko huko huko Ufipa!simba yupi?
Sidhani! Ufipa na Simba vipiYuko huko huko Ufipa!
Kumbe tunatawala kiukoo zaidi na siyo cv?. Haya yana mwisho.Wewe nakuheshimu sana, ukianza shallow reasoning, nitakuchapa makofi! 🤣 🤣 🤣 🤣 , hawa ni watoto wa DADA! Tofauti na "kapuku" wa CDM kama nilivyo mimi!
Ukweli usemwe, Kanda ya Ziwa wametawala hasa Mwanza/Musoma! Ndugu hao wengi tu! Kungelikuwa na uhuru wa kusema/kuandika, usingeliamini unachokisomaKumbe tunatawala kiukoo zaidi na siyo cv?. Haya yana mwisho.
Hivi vitu vinakwamisha maendeleo HALISI ya sisi Waafrika! Kinachofanyika ni propaganda za upande mmoja na uwongo mkubwa mkubwa. Mtu hana cheti kwa vile ni ndugu au kabila moja anasifiwa kwa propaganda nyingi kuwa ana uzoefu! Cha ajabu hajawahi hata siku moja kuwa mtumishi wa umma, huo uzoefu kaupatia wapi? Wenye elimu na uzoefu wanaachwa kwa propaganda zile zile kuwa ni mafisadi! What a curse?Ukweli usemwe, Kanda ya Ziwa wametawala hasa Mwanza/Musoma! Ndugu hao wengi tu! Kungelikuwa na uhuru wa kusema/kuandika, usingeliamini unachokisoma
Kwahiyo umekosa picha zao kusindkizia Uzi wako!!!?
Umemaliza mkuu..hawa ni wa sisy😄Wewe nakuheshimu sana, ukianza shallow reasoning, nitakuchapa makofi! 🤣 🤣 🤣 🤣 , hawa ni watoto wa DADA! Tofauti na "kapuku" wa CDM kama nilivyo mimi!
Itapendeza kama wote wataingia mjengoni.Hao hapo mpwaa
Chini Kushoto Imelda Mallet(Malinyi) na Chini kulia Selestine Simba (Ulanga)View attachment 1514776
Siajajua kwanini wanatofautiana Surname au ni majina ya kuolewa?
Mambo ni moto!Akina Biteko wawaowe hao alafu wawaungishe juhudi mkono juhudi kwisha kazi.
Hakika...... Tuwaombee!Itapendeza kama wote wataingia mjengoni.
Huyo doto ni ndugu na mheshimiwa raia number 1?Umemaliza mkuu..hawa ni wa sisy[emoji1]