Uchaguzi 2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

Kama kweli huyo wa Kawe ni mtoto wa dada yake Jiwe ; Halima atamchapa mchana kweupe!
 
Hii ni ishara nzuri sana kwa CHADEMA kutakuwa na kura nyingi za kushangaza, double double kwa CDM mwaka huu. Karibu Lissu uongoze mapambano dhidi ya udhalimu.
 
SARE ZA CHADEMA NI MOTO. ILA HAYA MALAPULAPU YA CCM HUWA SIYAELEWI HATA KIDOGO. HAYANA MVUTO KABISA! KILA ANAYEVAA ANAONEKANA ANA MIAKA ISIYOPUNGUA 70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…