Mapacha Waheshimiwa Kulwa na Dotto Biteko Leo Wanasherehekea Siku yao ya kuzaliwa

Happy birthday kwao watoto wa mzee biteko
Huyo kulwa yuko kitengo gani ?

Alafu sio happy anniversary mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika mwili wa mwanaume tumbo kubwa sana sipendi, si kwamba 6 packs zinanizuzua ila tumbo kubwa (kitambi) Kama cha hao mapacha hapana hata upendo kwake siwezi kuupata,
Ndiyo maRijali tulivo!! (Mazoezi hujenga mwili uutakao)....
 
Katika mwili wa mwanaume tumbo kubwa sana sipendi, si kwamba 6 packs zinanizuzua ila tumbo kubwa (kitambi) Kama cha hao mapacha hapana hata upendo kwake siwezi kuupata,
Na kama ana pesa je unavutiwa nazo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nacheka kwanza na comments

Happy birthday mapacha
 
Na sijawahi kumpata wa tumbo kubwa km hao mapacha, nadhani Ni wachafu wavivu na wasiojipenda wanaume aina hiyo,, kwahiyo awe na pesa haibadili mtizamo wangu akiwa na huo mtumbo
In short kitambi ni dalili za ujinga.
 
Huyu Dotto ndo mwizi wa Tanzanite kule Mererani. Majambazi wa m5tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…