Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Usidhani hapa jamvini kila member ni mramba viatu kama weweHongera kwao
Hongera kwa familia
Hongereni WanaCCM wote!
Happy Anniversary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidhani hapa jamvini kila member ni mramba viatu kama weweHongera kwao
Hongera kwa familia
Hongereni WanaCCM wote!
Happy Anniversary
Ni wana ccm!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waheshimiwa kwenye jambo gani?
Happy birthday kwao, wapunguze matumbo kah!! Mi mwanaume mwenye mtumbo wa hivyo kwakweli hanivutii
Nzuri zaidi ninae msimamia kucha, asie na mtumbo na pesa iko,,Cha msingi pesa tu, kucha tutasimamia sisi marioo!
Umri wako?Ujinga wake ulianza pale aliporuhusu tumbo likaning'inia..ni ujinga wa hali ya juu.
Wamesha oa.Happy birthday kwao, wapunguze matumbo kah!! Mi mwanaume mwenye mtumbo wa hivyo kwakweli hanivutii
Hata mi nimeolewaWamesha oa.
47Umri wako?
Urongo, huwezi kuwa na umri huo ukaandika utumbo uloandika
Nzuri zaidi ninae msimamia kucha, asie na mtumbo na pesa iko,,
Silei marioo mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na sijawahi kumpata wa tumbo kubwa km hao mapacha, nadhani Ni wachafu wavivu na wasiojipenda wanaume aina hiyo,, kwahiyo awe na pesa haibadili mtizamo wangu akiwa na huo mtumbo
Kwahiyo watu wazima wengi ni wajinga tuseme 70% ya watu wazima
Happy birthday to them waheshimiwa
Ujinga wake ulianza pale aliporuhusu tumbo likaning'inia..ni ujinga wa hali ya juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mkuu unataka nini tena..ni Ujinga Narudia
Happy birthday kwao, wapunguze matumbo kah!! Mi mwanaume mwenye mtumbo wa hivyo kwakweli hanivutii
Shangaa na weweMatumbo makubwa kama ujauzito wa miezi 5 🤣🤣