Wanajua na hawadhubutu kuwaleta wote maana wanaamini katika divide and ruleSalaam!
Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida.
Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani,
Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa.
Nawasilisha π
Wamalizie kazi,Wanajua na hawadhubutu kuwaleta wote maana wanaamini katika divide and rule
Tunazisubiri kwa hamu.Nyimbo za kukatwa zitaimbwa nyingi sana baada ya tarehe 4 August.