Mapacha Walioungana

Mapacha Walioungana

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
473
heri ya mwaka mpya wadau...nina swali moja jamani, niliangalia kipindi cha Shajara TBC1,kuna mapacha wa kike wa Iringa walikuwa wanahojiwa, wameungana kifuani.

kilichonishangaza,walikua wanaonge kwa pamoja, na kitu kimoja pia!!

Je,inakuaje hapa wadau??
 
Back
Top Bottom