Mapadre acheni kuudhalilisha ukatoliki (padre aomba waumini wamchangie milion 90 anunue kluger ya kutembelea

Nadhani wewe unazungumzia mapadri wa zamani ambao walikuwa wanaona ufukara na kuishi maisha kitawa parukiani ndio utakatifu. Mapadri wa sasa wanamiliki majumba, magari, mashamba na biashara. Ni mwendo wa maokoto tu.
 
Huenda wewe ndo umeanza kusikia au kuona Mimi Nina bahasha ya harambee ya kumchangia BabaParoko gari! Nipo kazini nikifika home napiga picha naiweka hapa siogopi mtu Wala nani nikifika nyumbani inapigwa picha inaweka hapa.

Kabla ya harambee WAUMINI walichangishwa Hela na kupewa Gori (kiasi Cha pesa)Kila mtu ambayo ilikuwa 45k. Akaona haitoshi wakasoti watu walio na kazi zao wakatengeneza group wasap wakaweka Gori Tena 100k Kila mtu then Harambe Kwa kuandikiwa barua kabisa na ilifanyika kigangoni.

Ukumbke nyumba tuli mjengea kubwa na ya kisasa kabisa!

Mimi ni Rc lakni Nimeshastuka kitambo naenda mwaka wa7 bila kunusa kanisani uhuni mwingi na utapeli umerudi makanisani.
 
Waumini ndo mtaji wa kanisa na mtu hutumia vile vinavyotokana na mtaji wake. Kwa mategemeo yako ulitaka asemeje ili hali kondoo anawaona wamenona?. We kutoka nje ni utovu wa nidhamu kwa kiongozi wako wa dini au hujui biblia inasema tiini mamulaka zilizoko duniani.
 
Kwa sasa kitu cha msingi kwa mkatoliki ni hiki:

1. Hudhuria Jumuiya ndogondogo

2. Hudhuria misa, toa sadaka 1 ile inayotakiwa.

3. Lipa vitu vya msingi tuu kama zaka na mavuno.

Takataka zingine zooote zinazokuja in the name of padre au paroko au askofu ACHANA NAZO.

Labda kama mchango ni kwa advantage ya kigango/parokia/jimbo hapo sawa unaweza changia lkn waweke reasonable amount.
 

Labda new modal
 
Ulichelewa sana kujua Huu mkakati wakiuchumi ulioundwa Kwa neno Dini!!

Hiyo ni bashara kama biashara nyingine!waumini ndio wateja wakuu!!
Hajakosea huyo padri kafunua ufunuo was aiku zote uliofichwa na watumishi wanajiita wa mungu!!
 
Acha uchoyo mkuu! Unamuonea wivu?
 

Toa pesa acha kulialia.
 
Mali binafsi unamaanisha Nini? Hujawahi kusikia na kuona nyumba au Mali za Padre mtaani?
 
ULALAMISHI MWINGI NI TABIA YA KIUANAMKE AU KIMASKINI. WEWE KAMA HUNA NYAMAZA. SISI TUTACHANGIA. MBONA SI ISSUE? HUJALAZIMISHWA. KAMA HUNA LALA MBELE AU NYUTI TU WATAENDELEA WENGINE KUCHANGIA. NYIE MADOGO WA MIAKA YA 2000s ni walalamishi sana. Mambo mengine unaamua tu kama mwanaume.
 
Sema unachangia usijumrishe na wengine mkuu. Na huo sio ukristo.
 
Usipotoa hutazikwa, na ukizikwa utazikwa kama Mbwa bila kuwekewa msalaba kaburini wala kuendeshewa ibada ya mazishi

Shauri yako [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…