Mapafu yameshituka ghafla!

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Hi everyone in here,

Unaambiwa dunia ni moja ila majira na hali ya hewa hutofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Haya ni maajabu ya Yahweh.

Juzi, tulipokuwa tunatoka holiday ughaibuni, tulipoanza kugusa anga la Afrika, mapafu yalishituka ghafla kwani pressure ilibadilika.

Nilikuwa usingizini Wakati huo, vinyweleo vya pua yangu vilisimama kukabiliana na hewa nzito ya Afrika.

Mabadiliko haya huwa yananisumbua sana kila nikirudigi nyumbani. Hivyo Daktari wa familia huwa ananishauri mara nyingi nifikie mapumzikoni Arusha au Moshi.

Leo sina mengi zaidi niwatakie SABATO NJEMA. Kwa si wayahudi tunasema Shabbat shalom!!!

Jambo Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h n mada nyingine ya kipuuzi niliyosoma leo.
 
Asee! Si ungebaki huko huko Ughaibuni huku tuachie sisi tuliozoea hali ya hewa nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…