House4Sale Mapagale mawili kwenye kiwanja kimoja yanauzwa jiji la Dodoma

House4Sale Mapagale mawili kwenye kiwanja kimoja yanauzwa jiji la Dodoma

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,493
Salamu Wakuu naomba kuwauzia Pagale MBILI kwenye Kiwanja kimoja.

Details
-Kiwanja kina Ukubwa wa Sqm 1543.
-Kiwanja Kimepimwa na kina Ofa(Hatua moja kabla hujapata Hati).
-Mapagale yapo Mpamaa-Kata ya Miyuji karibu na Uwanja wa ndege unaojengwa wa Kimataifa.
-Bei Boss ameanzia Milioni 47 lakini maongezi yapo.

Kwa Maelezo zaidi karibu tuwasiliane kwa namba
+255 (0) 625646266

IMG_3307.jpg

IMG_3311.jpg

IMG_3308.jpg
 

Biashara ya Viwanja sio kama Biashara ya Vifaa vya umeme vya Kichina daraja ya mwisho,unaweza kuonyeshwa kwenye mtandao picha nyingine ukalipia ikifika unakuta nyingine na Muuzaji anakomaa ni ileile uliyochagua[emoji16]

Viwanja kwanza Biashara tunafanya kupitia Wanasheria wetu au wako(kama unao) na gharama ya Mwanasheria ipo kwenye makubaliano ya bei zetu,kabla ya Biashara unaenda kujiridhisha Jiji na Wizara ya Ardhi(Kwa Msajili wa Hati) baada ya kuona kila kitu kipo Sawa ndo unakuja tufanye biashara.

Muhimu:Kila Kiwanja ambacho hakina Hati kina Invoice yenye Majina na I.d number pia kuna Control number ambayo inakuwa inasoma kwenye system majina ya Mhusika au kampuni husika,hakuna longolongo kwenye Biashara yetu,kama una hela na unahitaji Ardhi Dodoma iwe Shamba,Viwanja au Magapale na Nyumba njoo usiogope!
 
Back
Top Bottom