Mapaja na hips artificial

Mapaja na hips artificial

Mshawa

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
783
Reaction score
321
Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
 
teh teh akichojoa hizo nguo ukienda nae si inakua balaa kama ndicho kilichokuvutia?
 
Hapo wadada watuteka wengi,maana mwenyewe hips na mapaja huwa ni ugonjwa wangu mkubwa.
 
Kazi ipo, mbinu zetu zote mnazistukia. Lol.
 
ubatili mtupu... wanalala na hayo masuruali au?
 
Back
Top Bottom