Mapaja na hips artificial

Mapaja na hips artificial

Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
mapenzi ya siku hizi bwana, watu wanapendana kweli, au wanafanya ng*no?
 
Wana tumia pump ya baiskeli kuzifurisha au petrol station?
 
Ndo mlichobakiza kuwaza ngono tu.....no wonder nguvu za kiumeni zinawaishia ovyo ovyo tu!!
 
Back
Top Bottom