Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan inafika kipindi unajiona huna thamani,unatamani kujiua!Shukranu mkuu ila hapo kwenye pambano la kujikatA mwenyewd tupe nondo zaidi
We ulishawahi fika hatua hiyo?Yaan inafika kipindi unajiona huna thamani,unatamani kujiua!
LAKIN TAIKON,KWANINI KTK MABANDIKO NA UFAHAMU WAKO HUWA(NIONAVYO) HUWAPI NAFASI/HUWATAMBUI WANAWAKE KAMA KIUMBE??