Mapambano bungeni ni dhidi ya ajenda mahususi ya CCM ya kuhodhi Bunge la Katiba-Mwl Lwaitama

sangu mnene

Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
92
Reaction score
35
Akiongea kwenye kipindi cha Hoja ya Mwalimu Lwaitama kilichorushwa na SIBUKA TV leo Ijumaa 06-09-2013,Dr Lwaitema amesema kuwa wabunge wa vyama vya upinzani wanajaribu kuizuia CCM kuhodhi Bunge la katiba."CCM inao wabunge zaidi ya robo tatu kwenye Bunge la muungano,lakini tatizo lipo kwenye Bunge la wawakilishi,CCM hawafikii robo tatu ya wajumbe, kwahiyo, CCM wanataka watumie nafasi aliyopewa Raisi kuteua wajumbe 166,kuziba pengo hilo,wamepitisha apelekewe majina tisa kwa kila asasi halafu yeye atateua mmoja anayemtaka ambaye lazima akubaliane na ajenda za CCM" amesisitiza Dr Lwaitama.

Ameongeza kuwa,yapo mapendekezo mengi ya kamati ya Warioba ambayo wananchi wameyafurahia sana lakini CCM hawayaafiki kabisa.Baadhi ya mambo ambayo Dr Lwaitama amesema CCM hawataki kabisa yawemo kwenye katiba mpya ni;

  1. CCM hawataki serikali tatu,wanataka serikali mbili.
  2. CCM inataka mawaziri waendelee kuwa wabunge.
  3. CCM haitaki wabunge wanawake wachaguliwe,wanataka viti maalum viendelee ili wawaweke ndugu zao.
  4. CCM haitaki haki za binadamu ziingizwe kwenye katiba mpya.
  5. CCM inataka majaji waendelee kuteuliwa na Raisi.
  6. CCM hawataki madaraka ya Raisi yapunguzwe.
  7. CCM haitaki maadili ya viongozi yawemo kwenye katiba mpya. n.k.

Wapinzani wanajua kuwa kama Bunge la katiba litatawaliwa na wana CCM, mambo yote yaliyotajwa hapo juu na mengine wasiyoyapenda wana CCM yataondolewa kwenye rasimu ya katiba,na hivyo ndoto ya watanzania kupata katiba mpya itakuwa imeyeyuka kabisa. Katiba haitakuwa mpya tena,itakuwa ileile ya zamani kwenye jalada jipya,itakuwa sawa na kuweka divai ya zamani kwenye chupa mpya. Ndio maana wapinzani walitaka idadi ya wajumbe wasio wabunge iwe 400 na wachaguliwe na asasi husika sio Raisi.Wapinzani wamekubali kudhalilika ili kuwafumbua macho watanzania kuwa yale yote yaliyofanywa na kamati ya Warioba na kupendwa na wananchi yapo hatarini kutoweka.

Ndugu wana JF, hivi kweli kwa mswada uliopitishwa leo unaweza kuua ndoto zetu za kupata katiba mpya? Je, pendekezo lililopitishwa kuwa vipengele vya katiba vinaweza kupitishwa na wingi wa wajumbe bila kujali wanatoka wapi inaweza kuwa ni mbinu ya CCM kuhakikisha mambo hayo saba hayaingii kwenye katiba mpya? NAWASILISHA
 
Hakuna jipya kwenye haya uliyoyaeleza, tumeisha yasikia sana kwa viongozi wako. Na Lwaitama anajulikana kwa kupayuka na kutotumia udokta wake kufikiri. Hivyo hitimisho la thread uliyoileta twaweza sema ni thread ya craaaaaaaaaaaaaaaaaap.
 
Ahsante Dr. Lwaitama baba! Ipo siku watanyoosha mikono
 
Vita yote hii ni kwa kuwa CCM wanataka Katiba wanayoitaka wao ni sio ile ambayo wananchi wanaitaka! Ni lazima wananchi tuamke la sivyo miaka miwili baada ya Katiba mpya tutabaki na malalamiko yaleyale! Vyama vya upinzani katika hili vinataka katiba mpya kwa masilahi ya taifa na hatuna budi kuwaunga mkono!
 
Hakuna jipya kwenye haya uliyoyaeleza, tumeisha yasikia sana kwa viongozi wako. Na Lwaitama anajulikana kwa kupayuka na kutotumia udokta wake kufikiri. Hivyo hitimisho la thread uliyoileta twaweza sema ni thread ya craaaaaaaaaaaaaaaaaap.

Kama unaona hakuna jipya wewe pita tu huna haja ya kuropoka.
 
Ni vigumu kwa wajinga kumwelewa Dr.Lwaitama lakini wajanja wamemwelewa.
Watanzania wengi wamekuwa waelewa na itadhihirika 2015.
 
Huyu Dr namkubali sana enzi zile akinifundisha footnote pale UDSM, kimsingi alinifanya nilipende somo lake la CL na mahudhurio yangu library kuwa mazuri,Thanks Dr kwa msaada wako,
 
Hakuna jipya kwenye haya uliyoyaeleza, tumeisha yasikia sana kwa viongozi wako. Na Lwaitama anajulikana kwa kupayuka na kutotumia udokta wake kufikiri. Hivyo hitimisho la thread uliyoileta twaweza sema ni thread ya craaaaaaaaaaaaaaaaaap.

Duuh!wanafikiri mkwa kutumia makalio bhana!Kama watoto yatima hata umjali vipi?....
 
hakuna jipya kwenye haya uliyoyaeleza, tumeisha yasikia sana kwa viongozi wako. Na lwaitama anajulikana kwa kupayuka na kutotumia udokta wake kufikiri. Hivyo hitimisho la thread uliyoileta twaweza sema ni thread ya craaaaaaaaaaaaaaaaaap.

:wewe unatumia ma------ kufikiri ebu badilika kifikira
 
Hakuna jipya kwenye haya uliyoyaeleza, tumeisha yasikia sana kwa viongozi wako. Na Lwaitama anajulikana kwa kupayuka na kutotumia udokta wake kufikiri. Hivyo hitimisho la thread uliyoileta twaweza sema ni thread ya craaaaaaaaaaaaaaaaaap.
Thread ya ---- unamaanisha nini.?unajaza nafasi tu Tanzania hapa....kilaza sana wewe...
 
Dr Lwaitama ni kichaa! Ina maana Prof Baregu alipo teuliwa na Rais alikubali kwanza mashariti ya CCM? What a hpoless old fool!!
 
Akiongea kwenye kipindi cha Hoja ya Mwalimu Lwaitama kilichorushwa na SIBUKA TV leo Ijumaa 06-09-2013,Dr Lwaitema amesema kuwa wabunge wa vyama vya upinzani wanajaribu kuizuia CCM kuhodhi Bunge la katiba."CCM inao wabunge zaidi ya robo tatu kwenye Bunge la muungano,lakini tatizo lipo kwenye Bunge la wawakilishi,CCM hawafikii robo tatu ya wajumbe, kwahiyo, CCM wanataka watumie nafasi aliyopewa Raisi kuteua wajumbe 166,kuziba pengo hilo,wamepitisha apelekewe majina tisa kwa kila asasi halafu yeye atateua mmoja anayemtaka ambaye lazima akubaliane na ajenda za CCM" amesisitiza Dr Lwaitama.

Ameongeza kuwa,yapo mapendekezo mengi ya kamati ya Warioba ambayo wananchi wameyafurahia sana lakini CCM hawayaafiki kabisa.Baadhi ya mambo ambayo Dr Lwaitama amesema CCM hawataki kabisa yawemo kwenye katiba mpya ni;

  1. CCM hawataki serikali tatu,wanataka serikali mbili.
  2. CCM inataka mawaziri waendelee kuwa wabunge.
  3. CCM haitaki wabunge wanawake wachaguliwe,wanataka viti maalum viendelee ili wawaweke ndugu zao.
  4. CCM haitaki haki za binadamu ziingizwe kwenye katiba mpya.
  5. CCM inataka majaji waendelee kuteuliwa na Raisi.
  6. CCM hawataki madaraka ya Raisi yapunguzwe.
  7. CCM haitaki maadili ya viongozi yawemo kwenye katiba mpya. n.k.

Wapinzani wanajua kuwa kama Bunge la katiba litatawaliwa na wana CCM, mambo yote yaliyotajwa hapo juu na mengine wasiyoyapenda wana CCM yataondolewa kwenye rasimu ya katiba,na hivyo ndoto ya watanzania kupata katiba mpya itakuwa imeyeyuka kabisa. Katiba haitakuwa mpya tena,itakuwa ileile ya zamani kwenye jalada jipya,itakuwa sawa na kuweka divai ya zamani kwenye chupa mpya. Ndio maana wapinzani walitaka idadi ya wajumbe wasio wabunge iwe 400 na wachaguliwe na asasi husika sio Raisi.Wapinzani wamekubali kudhalilika ili kuwafumbua macho watanzania kuwa yale yote yaliyofanywa na kamati ya Warioba na kupendwa na wananchi yapo hatarini kutoweka.

Ndugu wana JF, hivi kweli kwa mswada uliopitishwa leo unaweza kuua ndoto zetu za kupata katiba mpya? Je, pendekezo lililopitishwa kuwa vipengele vya katiba vinaweza kupitishwa na wingi wa wajumbe bila kujali wanatoka wapi inaweza kuwa ni mbinu ya CCM kuhakikisha mambo hayo saba hayaingii kwenye katiba mpya? NAWASILISHA

Prof Baregu alikubali mashariti ya CCM ndio Rais akamteua kuwa kwenye tume ya Katiba??? Dr Lwaitama ameamua kurithisha ujinga wake kwa taifa hili
 
Watanzania wapenda maendeleo tuwaunge mkono wapinzani,kwani wao wanapigania katiba mpya ya ukweli,wakati ccm wanapigania katiba itakayowalinda kubakia madarakani
 
Ninakubaliana na Mwalimu Lwaitama kwa asilimia mia. Nililieleza hili kwa maneno mengine wakati ninaunga mkono hoja iliyotolewa na ME MANASE katika uzi wa Joshia Nassari. Nilisema hivi
" Ninakuunga mkono. Kwa kuongezea ni kwamba HAKI HAIOMBWI bali HUPIGANIWA. Ukombozi wa pili wa Tanganyika na Zanzibar utaanza na mabadiliko ya katiba yanayofanyika kwa dhati, na sio kwa chati. Wakati wenye welewa mdogo wanaliona tukio la sintofahamu ya juzi bungeni kama tukio la aibu, wenye welewa wa kutosha tunaliona kama HATUA MUHIMU sana katika safari ya kupigania HAKI. HATUA ya kwanza ilikuwa ni Novemba 2010 Wabunge wapambanaji chini uongozi wa Kamanda Mbowe waliposusia hotuba ya Mhe JK. Wenye welewa mdogo (tulivyolelewa kisiasa) walibaki midomo wazi bila kuamini walichokuwa wakikiona lakini matokeo yake ilikuwa ni Mhe JK kuridhia (japo kwa chati) haja ya kuanza mchakato wa Katiba mpya, na wote tukatoka ndani ya viboksi na kuanza kushangilia uamuzi huo. Kwa vile ndugu magambaz hili halikutoka moyoni mwao wameamua kuchakachua mchakato. Wapambanaji chini ya uongozi wa kamanda yule yule, Mhe Mbowe, waliligundua na wameendelea kuligundua na hivyo hiki kilichotokea juzi ni ujumbe tosha (sio aibu) kwa umma wa Watanzania kama ilivyokuwa siku ile waliposusia hotuba ya Mheshimiwa sana. Tuwaunge mkono na hatimaye haki itapatikana kama si leo basi ni 2015."
 
Dr Lwaitama ni kichaa! Ina maana Prof Baregu alipo teuliwa na Rais alikubali kwanza mashariti ya CCM? What a hpoless old fool!!

Yaani uwezo wenu wa kujenga hoja ni uleule wa kina Lusinde,Komba, Kigwagwala &co. Mnatia huruma sana. Kila mkimtaja Rais ni kama malaika kwenu,mnashindwa kujua kuwa huyo ni mtumishi wa watu kwa mkataba maalumu? Kwani kumteua Baregu ni fadhila?
 
Lwaitama yuko sahihi, kwa mtanzania mzalendo atawaunga mkono wabunge wa upinzani. Ccm wanalazimisha katiba waitakayo wao badala ya wanayoitaka wananchi! Wadau tungeliomba mwenye soft copy ya muswada uliopitishwa atuwekee hapa jamvini ili tuupitie na kuona mapungufu yake!
 
Mwl Lwaitama yuko sahihi....kazi ni kwetu Watanzania wapenda haki kutokubali mawazo ya kijinga kutoka kwa wanaCCM wasio wazalendo!!
 
Hakuna jipya kwenye haya uliyoyaeleza, tumeisha yasikia sana kwa viongozi wako. Na Lwaitama anajulikana kwa kupayuka na kutotumia udokta wake kufikiri. Hivyo hitimisho la thread uliyoileta twaweza sema ni thread ya craaaaaaaaaaaaaaaaaap.

>We mbulula una elimu inayomfikia Rweitama au unapayuka tu...ccm ina watu waajabu kama wewe..
 
Back
Top Bottom