Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi.

Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume magovi huambukiza HIV kirahisi.

Wanawake hoyeeee!!
Samia hoyeee!!
Mwaka 2025 kula zetu kwako.
 
Anaongea tu, Kuna mwanamke Sasa hivi asiyetaka madollar we! Thubutuu unafikr mafwedha masihara, hata Govinda zingekua na viwembe kwa ndani mbele ya mbumba hawachomoi...
 
Nazi hawezi shindana na jiwe itapasuka tu.. pwaaaa!
 
Kwahiyo sisi tunao miliki ngozi ni walemavu..??🙄
 
Kifupi mmeruhusiwa kufanya mapenzi nje ya ndoa. Maana haiingii akilini kwa mumeo uwe hujui kama ametahiriwa au la ili umkague na kuamua kumpa au kumnyima.

Chimbo jipya (mchepuko) ndiyo utakuwa hujui kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom