Mapambano ya Corona: Amnesty International yasema Serikali ya Tanzania inaminya habari

Chakaza,
Vipi kuhusu yule captain wa Aircraft carrier -aliyesimamishwa kazi kuhusiana na. taarifa yake ya wanamaji wake wapatao 100 wenye virusi...je USA imeshutumiwa pia na Hawa AI?
Mambo ya Jeshi hayatangazwi wala kuhojiwa. Ni sawa na sisi sasa hivi hatuhoji kuhusu MV Bagamoyo kwani kimeshakuwa kifaa cha jeshi mkuu 1954
 
Mambo mengi tunajitakia wenyewe.

Kwani tunadaiwa na hao anest? Nao ni kiherehere tu, wao wanataka taarifa zipi kuhusu corona? Kama wanataka waje waugue tuwatangaze waone kama hawata julikana, hya mataifa yanaanza kukosa weredi, kila wanachotaka kufanya wao wanata na wengine wafanye, lazima wajue kila nchi ina utamaduni wake, nadhani walitaka kusikia vifo kwa mamia ndo wangefulahia, hawa watu wana roho mbaya sana, wanapenda kuwa mabeberu tu kwa kila kitu.
 
Suala LA afya ya dunia sio siri ya nchi mojamoja ni la dunia kwa pamoja kupitia sheria za WHO.
Kwa nini sisi tunaficha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Jeshi hayatangazwi wala kuhojiwa. Ni sawa na sisi sasa hivi hatuhoji kuhusu MV Bagamoyo kwani kimeshakuwa kifaa cha jeshi mkuu 1954
Corona si jambo la kijeshi, yeye alilipoti kuhusu corona na si siraha zilizopo kwenye meli

why double standard?

Wanataka hapa kwetu kila mtu atoe habari za corona iilihali jambo hilo hilo kwao hawalitaki!

Inafikilisha.
 
Suala LA afya ya dunia sio siri ya nchi mojamoja ni la dunia kwa pamoja kupitia sheria za WHO.
Kwa nini sisi tunaficha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao WHO waliposema kufika 14/4 tutakuwa na wagonjwa elfu na vifo rundo kwa hiyo nao ni waongo sio? Mbona hawajaomba msamaha kwa data za uongo?
hao anest wana kiherehere kama wana jeuri si waende korea kaskazini huko wawaulize kwa nni hakuna wagonjwa wala vifo?
Watengeneze matatizo kisha waje kutusumbua na ubeberu wao, kwa nni wasiwaurize marekani pamoja na kuwa super power kwa nni wameacha watu wao wafe kiasi hicho huku kila kitu wanacho,
Au uwezo wao ni kupiga nchi masini tu kisha wajidai super power
 
Hii ni serikali ya kijinga sn..... jamaa bado yupo mafichoni wkt wa mapambano?
 
Mkuu tunaongozwa na incompetent individuals so kila kitu wao ni ligi, so wanaficha ili wasifiwe kuwa wanaakili strategies zao zimeokoa maisha ya watu hata Kama ni uongo. Refer Data za makusanyo ya TRA
 
Mkuu kwani kwa kuficha data za athari za corona kwa watu wetu na nchi yetu tutapata Nini?
 
Najaribu kuwaza kwa sauti.

Je ni sawa mtu kusema chochote kwa lugha yoyote kwa kisingizio cha habari za Corona? Kuna wadau wengi wanamtukana Mhe. Rais matusi mazito Mazito kwa hatua za mapambano ya COVID-19. Hii kwa maoni yangu siyo sawa.

Mwandishi husika amefungiwa na mamlaka za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar lakini anayelaumiwa ni JPM. Hii pia haijakaa sawa. Tulitaka JPM afanyaje kwa mfano? Kuna mengi JPM analaumiwa kufanya wakati hahusiki kabisa
 
Chakaza,
Vipi kuhusu yule captain wa Aircraft carrier -aliyesimamishwa kazi kuhusiana na. taarifa yake ya wanamaji wake wapatao 100 wenye virusi...je USA imeshutumiwa pia na Hawa AI?
Asante kwa mfano murua.
Huu muziki umetight zaidi kwao, wangetumia nguvu nyingi zaidi kwao kujiokoa kabla ya kuendelea na World policing yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…