Mapambano ya Corona: Amnesty International yasema Serikali ya Tanzania inaminya habari

Mapambano ya Corona: Amnesty International yasema Serikali ya Tanzania inaminya habari

Hata Trump analalamikiwa sana kuhusu kubinya uhuru wa vyombo vya habari kwenye hili janga la corona,

Nadhani ni duniani kote wanabinya vyombo vya habari kuhusu CORONA
 
Mkuu kwani kwa kuficha data za athari za corona kwa watu wetu na nchi yetu tutapata Nini?

Na tukificha tunapata nni?
Kama una ndugu au rafiki unaowajua wapo karantini wataje na wana ugonjwa, au kama kuna vifo unajua havijatajwa si uvitaje tujue?
 
Bora waseme wao.
Hakuna nchi yoyote duniani inayowrza kujiandikia tu bila kufuata Sera nchi yao. Nikupe mfano: 1. Marekani ilipopigwa makombora na Iran hakuna chombo cha habari cha marekani kilichotangaza kama kinavyojisikia chenyewe!! Lazima Trump asikilizwe kwanza ndipo na vyombo viweze kumnukuu! Linapokuja suala zito lenye maslahi ya kitaifa, Republican na Democratic wanakuwa pamoja.
Hawa wazungu wasitupangie! Ya kwao yamewashinda watawezsje kushughulikia ya kwetu!! Kwanza wanapaswa kuja kujifunza ustaarabu kwetu.
 
Na tukificha tunapata nni?
Kama una ndugu au rafiki unaowajua wapo karantini wataje na wana ugonjwa, au kama kuna vifo unajua havijatajwa si uvitaje tujue?
Wewe mgeni Tanzania? Habari za corona zinatolewa na Waziri wa Afya,PM na rais sasa sisi unataka tuwataje Kama akina Nani? Au kufa watu watatu ndo kuputika anakosema Makonda?
 
Back
Top Bottom