Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Mkuu kwani kwa kuficha data za athari za corona kwa watu wetu na nchi yetu tutapata Nini?
Hakuna nchi yoyote duniani inayowrza kujiandikia tu bila kufuata Sera nchi yao. Nikupe mfano: 1. Marekani ilipopigwa makombora na Iran hakuna chombo cha habari cha marekani kilichotangaza kama kinavyojisikia chenyewe!! Lazima Trump asikilizwe kwanza ndipo na vyombo viweze kumnukuu! Linapokuja suala zito lenye maslahi ya kitaifa, Republican na Democratic wanakuwa pamoja.Bora waseme wao.
Wewe mgeni Tanzania? Habari za corona zinatolewa na Waziri wa Afya,PM na rais sasa sisi unataka tuwataje Kama akina Nani? Au kufa watu watatu ndo kuputika anakosema Makonda?Na tukificha tunapata nni?
Kama una ndugu au rafiki unaowajua wapo karantini wataje na wana ugonjwa, au kama kuna vifo unajua havijatajwa si uvitaje tujue?