Mapambano yanaendelea

Mapambano yanaendelea

EddyArt

Member
Joined
Jul 26, 2024
Posts
48
Reaction score
76
Weka oda yako mapema ujipatie picha ya kuchora uitakayo kwa bei nafuu sana.Karibuni🙂
_20240711_082127.JPG
 
Bei nafuu nikuanzia sh ngap mkuu wangu.nikupe kazi ya kumdraft mwanangu picha km mbilii
 
Bei nafuu nikuanzia sh ngap mkuu wangu.nikupe kazi ya kumdraft mwanangu picha km mbilii
Ni shilingi za kitanzania elfu ishirini tu bosi na inakuwa ndani ya frame yake kwa size ya A4.0685069818 karibu🙂
 
Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa
 
Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa
Sahihi mkali imepelekea soko limedidimia kwa kiasi kikubwa sana ila hakuna budi zaidi ya kupambana tuu,karibu.
 
Sasa si ungesubiri umalize uoneshe kitu kizuri mkuu?
Ni kweli ila napendelea kuonyesha mtiririko wa kazi bosi,samahani lakini kama ntakuwa nimekukwaza na karibu sana🙂
 
Back
Top Bottom