Mapambio yakizidi yanakuwa ni kejeli

Mapambio yakizidi yanakuwa ni kejeli

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Kwa mujibu wa gazeti hili linadai kuwa ongezeko la Wanyapori limeletwa na Royal Tour. Kwamba Simba, Kasongo, Fisi na wanyama wengine walipomuona tu mama wakaanza kuzaliana mfululizo? Hivi Machawa mnatumia akili au matope?
1741285787446.jpg


Mapambio yakizidi mwishowe yanakuwa ni matusi kwa mnayemsifia na hata kwa taifa. Huu ni ujinga wa kiwango cha lami kabsa, sifa za kijinga jinga ambazo hazina mchango wowote.
 
Mitano Tena Kwa mama, na hivi karibuni atatuletea kupatwa Kwa mwezi na jua! Tunamshukuru sana mama, mitano Tena!
 
Back
Top Bottom