Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Kwa mujibu wa gazeti hili linadai kuwa ongezeko la Wanyapori limeletwa na Royal Tour. Kwamba Simba, Kasongo, Fisi na wanyama wengine walipomuona tu mama wakaanza kuzaliana mfululizo? Hivi Machawa mnatumia akili au matope?
Mapambio yakizidi mwishowe yanakuwa ni matusi kwa mnayemsifia na hata kwa taifa. Huu ni ujinga wa kiwango cha lami kabsa, sifa za kijinga jinga ambazo hazina mchango wowote.
Mapambio yakizidi mwishowe yanakuwa ni matusi kwa mnayemsifia na hata kwa taifa. Huu ni ujinga wa kiwango cha lami kabsa, sifa za kijinga jinga ambazo hazina mchango wowote.