Kabisa mkuu, nguvu ya umma ni muhimuLissu na Heche hawana kazi ngumu kama wataendelea kusimamia HAKI. Jambo la kufurahisha ni kwamba kadiri wanavyosimamia HAKI ndivyo wanavyozidi kuwa na kundi kubwa la Watanzania wanaowaunga mkono,na wahuni ndani ya CDM watazidi kufichuka mmoja baada ya mwingine kama ulivyosema.
Hakuna kazi ngumu kama kuutetea UDHALIMU. Yaani hata kama una akili nyingi kiasi gani ukijiweka upande wa DHULUMA kwa maslahi unayoyajua wewe lazima utaonekana kilaza tu.
Lissu,Heche and the like wapo kwenye right track!
yaliyotendeka 29 Oktoba 2025 yamemsanua hata aliyekuwa amelalaKabisa wananchi wamekuwa na kuelewa tofauti na nyuma