pole sana sasa ulikuwa unataka nini?Mkuu naona umechukia sana,pole,hiyo ndo hali halisi ya maisha ya kileo,nyumbani baba bukta,mama kimini,watoto swimming costume kisha haooooooooo wet n wild.
kweli kabisaaaaaaaaaaaaa, ndio mambo ya kisasa hayowenyewe wanadai fashoni zoea tu rafiki ndio tulipofikia.
ona mwenyewe ni mmoja wa wale ninao wasemapole sana sasa ulikuwa unataka nini?
kama kweli ni mabo ya kisasa mtaishia kutembea bila hata mdanga,maana hao mnaowaiga wamefikia hapokweli kabisaaaaaaaaaaaaa, ndio mambo ya kisasa hayo