Mapapai

Mapapai

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
Kila ninapowaona, wengi wao wamejiweka kwa namna hiyo. Hivi ninyi kina dada na baadhi ya kina mama mnapo yaweka matiti yakionekana vifuani mwenu kwa nje kwa mfano wa mapapai mnamaanisha nini? Ni vivutio au ni mitindo ambayo mnaiiga bila kujua?

Au mnafikiri mkiweka hivyo inakuwa rahisi kuwapata wanaume? Likini wengine wanawaume zao, kama kigezo ni kuwatega wanaume, na nyie mlioolewa au wenye waume mnawatega waume zenu au watu wa mtaani?
 
Mkuu naona umechukia sana,pole,hiyo ndo hali halisi ya maisha ya kileo,nyumbani baba bukta,mama kimini,watoto swimming costume kisha haooooooooo wet n wild.
 
Mkuu naona umechukia sana,pole,hiyo ndo hali halisi ya maisha ya kileo,nyumbani baba bukta,mama kimini,watoto swimming costume kisha haooooooooo wet n wild.
pole sana sasa ulikuwa unataka nini?
 
itakubidi uzohee ndio mambo ya dunia ya sasa
 
hapo bado baba maendeleo ndo yanazidi kutuzingua utaona fashion nyingine zaid ya hayo matiti unayoyashangaa.
 
Twenty sikuwezi ushaweka na ka photo lol ..ila poa tu ni styli kama unaweza na wewe fanya no bodly wil ask broda
 
We unafanya nini kuangalia vifua vya watu???
Tafuta miwani ya mbao...na kama ni mkeo ndio unaona anatega mfunike maana ulivyokasirika....
 
kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakacho, usichunguze nani kavaa nini ndo utakuwa comfortable.
 
biashara matangazo,ila umenirusha roho mie nilijua unauza mapapai. nalog off
 
we ukiwaona mwaya jiinamie chini,wengineni majini watu!!
 
Lizzy, anasema ''tusiangalie vifua vya watu!'' Tutaachaje kuviangalia wkt viko mbele yetu? Tukivaa miwani ya mbao hatutaweza kuona maua ya ulimwengu.

Feis Buku, anasema " tujiinamie chini ili tusiendelee kuona" Hata kama tutajiinamia si tayari macho yatakuwa yamerekodi na kuweka kumbukumbu akilini?

Tunaomba mtupe njia ya kuweza kuendana na hali hii bila kutuathili.
 
Jamani jifunzeni kuangalia kwa macho na si kwa akili. Usiweke hapo akili yako.
 
Usiwajali hao ni fasion tu itapita.
 
Back
Top Bottom