Maparachichi ya Tanzania yanavyouzwa nje ya nchi kwa kupewa uraia mpya

Mkuu mitanzania ilishakuwa brainwashed na mentality za kivivu za ujamaa ndio maana ni kulia Lia kulalama yaani ni shida

Nimewaambia watu hapo hakuna kilimo cha kisasa au ufugaji wa kisasa na wa kibiashara ambao tzn tumeanzisha wenyewe bali tumejifunza kutoka kwa Wakenya,utashangaa mijitu mijinga eti Kenya hailimi parachichi wakati wanalima Sana tena kisasa na ndio wametufundisha na kutufungua macho.Leo hii wasiponunua Wakenya yataishia kuoza

Leo hii Udanda wameanza kulima kwa fujo siku si nyingi utasikia waganda wanabrand parachichi za bongo ,stupid

Nimeuliza hata mimi kwamba serikali imemzuia Mtanzania ku export au?

Hii nchi lazima tuwe aggressive na tujifunze kwa hao wakenya na wachina
 
Mkuu ukifuatilua you tube wakenya kwenye hii biashara wapo mbeke sana, tena wakinunua hawana masharti kama ya wazungu.
Nasikia wazungu wanachagua sana na kuacha matunda mengi mtini tofauti na wakenya.
Ni bora watajirike wakenya kuliko wachina.
 
Acha ujinga,tunaiamcha wizara,usidhani hatujui chochote,kuwa makini na mdomo wako.!
 
Hujui ulisemalo nyamaza.
 
Mbona hapo sioni kosa la Kenya? Ukishauza kitu siyo mali yako tena.
 
MAPARACHICHI YA TANZANIA YANAVYOUZWA NJE YA NCHI KWA KUPEWA URAIA MPYA

. Hii inatokana na juhudi nzuri za Serikali chini Hayati Dkt. Magufuli ][/I]

Yani nimeishia hapa kusoma. Sikutaka kiendelea.
 
Acha kupotosha wewe hasa kwenye parachichi, sio kila parachichi unaloliona hapaTZ, lina sifa ya kuuzwa ULAYA, na USA, tatizo letu watz, tunafikiria kila kitu tunachokila hapa , bora liende na huko ulaya ni hivyo tu?!kwenye ule mpango wa AGOA, tuliuweza? Parachichi zenye soko ulaya ni za aina ya HASS, hapa kwetu ukianza kuzitafuta hizo ni chache hasa, na ulimaji wake, hadi uvunaji wake lazima ufuate masharti ya soko huko.Wakenya kwenye haya mambo wako mbele sana (smart), sisi tunakalia tu mi mbengu ya kienyeji !!tena kwa kuaminishwa na wana siasa kuwa ndio nzuri!!
Kipindi kile mlisema mananasi, machungwa, nyanya, vitunguu kuwa zinaenda kenya wana viongezea thamani, wanapeleka ulaya, sasa tatizo ni nini?wewe si umeshindwa??waulize wakulima mikoa ya kask, kilichowakuta kipindi hiki cha mitifuano ya kenya na Tz?, Mtu aliyekuzidi kiuchumi ni msaada kwako wewe uliyechini.
 
Wewe Mkulima hoja yako ni mujarabu ila umeiharibu ulipotumbukiza jina la huyo poverty creator and culprit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…